Vifaa

Kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita, Uwezo imetoa Vifaa mbalimbali vya Mawasiliano ambavyo ni pamoja na:

  • Mabango ya Mzazi, Mwalimu na Mwalimu Mkuu;
  • Kalenda za Mwaka;
  • Kadiza Matokeo ya Wilaya kwa Ngazi zake;
  • Fasihi ya Wasomaji Chipukizi;
  • Vipeperushi vya kubandika vya Matatu (Dalla Dalla);
  • Vipeperushi vya kuweka mfukoni, na
  • Mabango
  • Vifaa vyote vya Mawasiliano vya Uwezo vinapatikana kwa kupakua kwenye ukurasa huu.